Paris Fashion Week imeanza toka tarehe 28 feb tumeona wabunifu wengi wakipitisha collection zao lakini kwetu Balmain ndo tulikuwa tukiisubiri kwa hamu, you know Balmain are trend setters na mwaka huu boots kama wame zipiga chini hivi ila nini kime tufuraish ni hii the come back ya t-shirt kama za Batiki hivi we are Inlove with them

Them T-shirts We Love Them

Comments

comments