Hatujui Hapiness aliwezaje kukaa na hizi picha bila kupost mpaka sasa tuseme tu hongera na tunaweza kuwaambia wa Tanzania this is how you break the Internet na wakati wa kupiga maternity photo shoot zenu mumkumbuke Happiness

Happiness anaweza akakaa kwenye cover ya vogue, mavazi, accessories makeup on point

Tunaweza kusema hii ni maternity shoot yetu pendwa kutoka Tanzania we love this Happiness so much

Kwa ambao hamkua mnajua Hapiness amejifungua mtoto wa kiume kampa jina Kairo unaweza kusoma zaidi hapa

Preg-Slay: Happiness Magese

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com