Rehema Chalamila ni mwanamuziki wa bongo flava ambae alitamba sana miaka ya 90 na 2000 mwanzoni, japo Rehema alikuja kupotea sababu ya matatizo fulani fulani. Kabla ya Rehema kupotea hatukua tuna muona kama mwanamuziki tu bali pia kama fashionista (fashion icon).
Watu wengi walikuwa wanaangalia nini Ray C kavaa na wao wanavaa kama tuna kumbukumbu nzuri alikua na suruali ambazo watu waka zipa jina lake.
Leo tunaona Ray C ana taka kurudi na pia bado ana jitaidi kukeep up na mitindo hizi ndizo picha alizo ziweka hivi karibuni na tume penda mavazi yake
Casual Ray C akiwa na stylist Noel Ndale
Denim On Denim na Cage heels
Ray c akiwa amevalia Cardigan nyekundu, black top, jeans ya blue na thigh high boots zenye kisigino, well she goes with trends na tume penda.
we can’t wait to see anacho kuja nacho na yeye kurudi kwenye fashion kama zamani
tembelea pia katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Instagram – afroswagga
Related posts
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!