Hijab sio tu kitu cha kujifunga kichwa bali ina hitaji art ya jinsi ya kuvaa/kujifunga hijab , hawa ndio mastaa walio tuvutia kutokana na uwezo wao wa kufunga hijab

The Original –  hii ni Hijab ambayo hufungwa miaka na miaka ina funika kichwa na masikio ameoneka ameifunga mwanamitindo Hamisa Mobetto akaiaccessorize na chain ya kichwa

13355603_1640009192988425_1562092262_n

 

Roll and tuck – hijab hii hufungwa kufunika kichwa huku chini ikiachia na ina fungwa tena chini kwa pini ameonekana ame ivaa mtangazaji Peniel  13398884_617091388453912_50400659_n

 

Turban – hiki ni kama kiremba ila kina kuwa designed kwa style ya pekee,13402234_290312491311176_78592119_n 13534626_1183466785026582_965291882_n

The Desert Princess – hii huvaliwa kijikofia ndani halafu mtandio una tupiwa kwa nje kufunika masikio na sehemu za shingo. Miss Tanzania Wema Sepetu alionekana katika style hii ya Hijab wema-sepetu-turban-styles

Comments

comments