Linapo kuja swala la mitindo na urembo leave it to mwanadada Rihanna, wakati wafuasi wake wa muziki wakipiga kelel kwa kutaka nyimbo mpya redioni Rihanna yupo busy kujenga empire yake katika ulimwengu wa mitindo na urembo.

Ukitajiwa Rihanna katika ulimwengu wa mitindo vitu vingi vitakujua kichwani kimoja wapo ni trend setter na risk taker, Rihanna does it differently sio kama ambavyo wengi tumezoea tumeshamuona katika mavazi ya aina mbalimbali na amesha set trends mbalimbali ikiwepo ya over sized cloth. Basi safari hii amekuja na hii ya kuvaa short skirt kama accessory,

Mara ya kwanza kumuona Rihanna akiwa amevali hii skirt alipost picha yake hii istagram na ku-caption “When Your Skirt Is Too Short”, Riri alivaa a denim straight legs trouser na silk pajama top, akiwa kwa juu ya topĀ  amevalia skirt hii fupi ya jeans, amemaliza muonekano wake na choker na jewelry nyingine.

Mara ya pili Riri alionekana kutoka katika club mjini London akiwa amevalia shirt nyeupe, skirt fupi kidogo ya denim ambapo juu yake akiwa amevalia a very short mini skirt, ni kama a skirt on top of a skirt amemalizia muonekano wake na plastic sandals pamoja na brown balenciaga necklace na statement Africa chain

Well kwetu tunaweza kusema only Rihanna can pull this look, as crazy as she is. Labda wewe ungetuambia unamuona mtu maarufu gani ambae anaweza kuvaa hivi na je umeipenda hii style au lah?

 

Rihanna Aja Na Style Hii Ya Kuvaa Short Skirt

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com