Jana tuliandika kuna vingi vinakuja katika Cannes Film Festival na tutegemee kuwaona mastaa wengi well slay Queen Bad Girl Riri (Rihanna) Jana ame attend Cannes na alikuwa all about Diamonds, Yes She shine’s bright like a diamond.

Rihanna alivalia gauni jeusi kutoka kwa wabunifu Ralph and Russo huku akiwa ame vaa madini kutoka kwa Chopard ambapo hii ni collaboration katiyao yaani Rihanna na Chopard

, in honour of her and the Rihanna X Chopard Collection during the 70th annual Cannes Film Festival on the Chopard Rooftop