Yes Rihanna ame fall in love tena lakini kwa sasa sio na mwanamuziki, muigizaji wala mcheza mpira, Rihanna is in love na hii dior saddle bag seems Rihanna ana ipenda sana hii bag na ana libeba mara kwa mara

Kwa bahati mbaya hii pochi haipo kwenye maduka yet yaani Rihanna ndio mtu wa kwanza kulibeba bado halijawa released katika maduka

na fan’s wa Rihanna (including us) wanaonekana wakilisubiri kwa hamu liachiwe waweze kulinunua inaonekana Dior wanajiandaa na sold out kwa upande wa hili pochi.

Comments

comments