Wanapo muita Fashion Icon they mean it, sababu Rihanna can rock any thing and look good. Jana ameonekana akiwa ana shoot kwa ajili ya Gazeti la Paper Magazine, na ina semekana ilikuwa asubuhi sana almost saa tisa mna weza ku imagine wale wavivu wa kuamka, Rihanna ana pesa kiasi gani na yet kaamka saa tisa za usiku kufanya kazi yake na ku make more $$$

katika hii photo shoot ame rock multi colored dress, wig la kijani na block colored wedges

hatujui icho kiunoni ni mkanda au vipochi either way Rihanna kakivaa na its Fashiooooooni

Tupe maoni yako juu ya muonekano wake huu kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Comments

comments