Week Iliyopita tuliona namna ambavyo watu maarufu walivyo attend katika premiere ya filamu ya nipe changu kutoka kwa  muigizaji Duma na tuliona jinsi ambavyo bado hali ya watu maarufu wengi ilivyokuwa tete katika swala zima la mitindo

Week hii Imeisha na kama kawaida tunakuletea nini kilitokea, kipi tulikipenda na kile ambacho tuliona hapana, week ilikuwa na mengi lakini kubwa ilikuwa birthday ya Dj wa WCB Romy Jons, theme ya mavazi katika birthday hii ilikuwa Gold na Black na kama kawaida watu walienda kinyume na theme, lakini pia tumekupa highlights za week ilivyokuwa tazama hapo chini reviews zetu

Ni hayo tu kutoka kwetu unaweza kutuambia wewe umeona kipi ambacho ulikipenda na ambacho kilikuchukiza

Romyjons Black And Gold Birthday Fashion Review And Weekly Fashion Highlights

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com