Russell Wilson & Ciara are so couple goals kwa sasa, as how their love started na jinsi Ciara alivyo toka to the messed up relationship mpaka kumpata the love of her life, lakini ukiachana na hayo ni jinsi Wilson na Ciara wanavyp treat each other and how they slay (this is our part)…..

Juzi Ciara alipata a flash accident (a flash sababu hakuna aliye umia) na jana alionekana all smiley akiwa na mwenza wake Russel wakiwa wameenda date in matching outfits (well every couple have matching cloth)

Ciara na Russell walikuwa spotted katika matching blue & white outfit

Wote walivaa shirt za blue na short pants nyeupe kasoro ni kwamba Ciara alivaa too short pant uki compare na Russell’s na pia Ciara alivaa shirt wakati Russell alivaa tshirt

Russell ali complite mtoko wake na white raba wakati ciara alivaa brown gladiators sandals

wote walivaa miwani na kuongezea few accessories kama side bag, cheni na saa

how cute is Ciara na Russell? tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggatz

Twitter – afroswaggamag

Comments

comments