Sean Wotherspoon’s Nike Air Max 1/97 ndio viatu ambavyo vimeonekana kupendwa sana kwa sasa, watu maarufu mbalimbali nje na ndani ya Nchi wameonekana kuvutiwa navyo na kuvi-style namna tofauti tofauti, vinauzwa $160 sawa na Tsh 365,584 na kwa sasa vinaonekana vipo sold out katika website ya Nike

  1. Tiwa Savage Akiwa Amevaa Fendi Multicolor Slingbacks Zenye Thamani Ya 2,195,727.57

 

Kwa hapa kwetu tumemuona Vanessa Mdee akiwa amevalia viatu hivi wakati yupo china, amevalia na all black outfit yaani short pants nyeusi na t-shirt amemalizia muoekano wake na cat eye glasses, we love the hair bun so big

Lakini tumeona pia kwa msanii kutoka Nigeria Davido akiwa amevivaa yeye alichagua kuwa colorful na outfit yake

Lakini pia wasanii kama Yara Shahid ameonekana akiwa amevalia hivi viatu na Double Denim Outfit

Chris Brown nae pia ameonekana kuvivalia viatu hivi na double denim outfit

lakini pia kuna wengine wengi wengi tulio wa-spot wakiwa wamevivaa, well ukitaka kuvivaa au kuvipata usicheze mbali na website yao hii hapa nike.com

 

Comments

comments