Bado mwezi mtukufu unaendelea, katika kipindi hiki mtoko wowote unakao upata inabidi ufikirie mara mbili jinsi gani utaweza kuwa show stopper na bado ukawa ume jistiri, well leo Ijumaa na ina wezekana una mualiko lakini hujajua namna gani uvae uende ukawafanye watu wakugeuzie macho. Hizi ni outfit ideas kutoka kwa fashion blogger wa kiislam tulizo ziona na tukaona si mbaya tukawaletea na ninyi

black & white

All black with silver & white touch

Gold & white

white & Burgundy

red, gold & white

black & white

 

Comments

comments