Kama kuna kitu ambacho wanawake tumebarikiwa ni kuwa na ule uwezo wa kuvaa nguo za aina yoyote kwa kumaanisha tunaweza kuvaa nguo ya kiume na kuiweka kike, lakini kwa wanaume ni nadra sana kuweza kufanya nguo za kike kuwa za kiume. Week nzima ina wezekana ulikuwa ndani ya official wear wengine suits, wengine sketi na blouse wengine suruali ili mradi uwe umevaa official, lakini leo ni ijumaa wengi tunawaza tukitoka twende wapi lakini je umesha jua uvae nini? hapa ndipo unapo search Afroswagga ilikujua unaweza kuvaa nini leo, na leo tunakupa zile chic outfits ambazo zina onyesha feminine side yako

Kama unatoka na marafiki na unataka kuwa sexy lakini simple (casual) french coat igeuze kuwa dress

 

The eye catcher dress

 

Jumpsuit

high low dress