Ni jumanne nyingine tena ambayo sisi huwa tunaiita shoes-day ambapo huwa tunawaletea tips za viatu au msanii gani kavaa kiatu gani na kina thamani gani. Wiki hii tumemuona Kylie Jenner na hivi viatu ambavyo vilituvutia machoni mwetu, vinatoka kwa mbunifu Alexander Wang ambapo yeye amebuni fish net shoes kabisa sio zile za kuvaa fishnet socks na heels yeye ameamua kurahisisha kwa kubuni fishnet heels.

Vinauzwa $995 sawa na Tzs 2,270,590.

Mara ya kwanza alivivaa beyonce ambapo yeye alivivaa vya rangi nyekundu na kuvi-style na hot pant, t-shirt nyeupe yenye wekundu na black blazer

Wakati Kylie yeye alichagua all black outfit na alivivaa viatu hivi vikiwa na rangi nyeusi.

katika blog yao alexanderwang.com wameandika sifa za viatu hivi

Stretch fishnet pointy toe ankle heel with PVC toe box.

-Leather wrapped pin heel

-Satin bra strap elastic sling back

-Natural buffed leather outsole with black leather contrasting detai

l-True to size-90% PVC 10% Kid Sued

e-Made in Italy.

-Dust bag included

Well tuambie nani ame vistyle best kati ya Beyonce na Kylie?

 

Comments

comments