Leo ikiwa ni birthday ya mbunifu mkubwa ambae toka aanze kazi yake amesha twaa Tuzo nyingi nje na ndani ya Nchi tumeona sio mbaya tuki throw back nae kuonyesha alipo toka na alipo fikia,

Martin kama walivyo watu wengi hakuanza tu na kuwa mbunifu na akasikika ghafla hapana alipia hustles kama kuwa model nakadhalika,

Martin alitikisa miaka ya nyuma na suit zake za koti ya singlr buttons ambazo zilikuwa colorful na watu waliipenda sana hii style

Martin amevalisha watu maarufu mbali mbali akiwepo Wema Sepetu, Idris Sultan, Diamond Platnumz na list goes on

Ukiachana na kuwa mbunifu Martin pia ana penda sana ku dress up kila mara ana onekana stylish na dressed up, clean and fresh

Pia ni mpenzi wa rangi

Mwisho tunaweza kusema Happy Birthday Martin Kadinda endelea kupeperusha bendera ya Tanzania vyema katika sekta ya ubunifu