Stylist anaekuja kwa kasi Joujou Nyaki ame post hizi picha katika Instagram account yake ambapo tumependa sana jinsi alivyo jistyle, Jou Jou amevaa white & mustard polka dot skirt

Amevaa na t-shirt nyeupe aliyo match na mid heel pump’s

ame accessorize na gias ark bamboo handbag hii bag ime bebwa na fashionistas wengi, amemalizia na colored shield sunglasses na hereni this vintage look is all we needed today

 

Comments

comments