Jumatatu nyingine tena hustle zinaanza upya lakini sote tunapenda tuhustle huku tukiwa tumependeza right? wazungu wanamsemo unasema Hustle In Heels. Leo tupo na style blogger Lavidoz tukionyesha suit collection yake 2016-2017 ambae mwenyewe kwa maneno yake ametuambia “suits don’t have to be boring you can play with them all you want if you in cooperate world ..!”

Hii ni ya hivi karibuni ambapo amevaa full red kuanzia viatu mpaka suit “lady in red” simple makeup & breaded pony tail

 

Cape red suit na white shirt with nude pumps

printed suit

all white suit gives you that clean & power look am read to conquer this week

double breasted suit

Ukitaka kumfollow lavidozi Instagram @lavidoz lakini pia blog yake ni lavidozstyle.com, Kusoma interview ya Lavidoz bonyeza hapa

Comments

comments