Unataka kutoka jioni na huna muda wa kubadilisha muonekano wako mzima ulio uvaa mchana, hizi ni njia chache za ku switch kutoka mavazi yako ya mchana kuwa ya usiku kwa kuongeza au kupunguza urembo mmoja.

elle_addone_jacket

badilisha koti au usivae kabisa koti ili kupata muonekano wa jioni

elle_addone_statementjewelry

ulivaa gauni lako na mkoba na boot bila ya urembo wa aina yoyote basi ongezea mkufu, pete au hereni kubwa au zenye rangi ya kung'aa kupata muonekano wa jioni.

elle_addone_boldlip

toa lip stick iliyo poa na uweke yenye rangi zaidi kwenye midomo yako hii itakupa muonekano wa jioni.

elle_addone_bag

hapa utabadilisha mkoba tu kutoka ule mkubwa wa mchana kwenda mdogo wa usiku.

elle_addone_heel

badilisha viatu kutoka vifupi vya mchana kwenda virefu vya usiku

SWITCH KIMOJA UPATE MUONEKANO WA JIONI

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com