Kunavitu vinaweza kuwa vina trend Duniani hasa katika upande wa fashion ukajiuliza why? wakati kila mtu akiwa bado haamini kuhusu jeans za kuvaa nje ndani – ndani nje seems like Multi Layered Jeans ndio ingizo lingine linalokuja kwa kasi kwa sasa,

Would You Dare To Wear Your Jeans Inside Out?

brand ya Y/project imekuwa ikileta designs za ajabu lakini watu wameonekana kuvutiwa nazo wakati kwa sisi wengine tukibaki tunajiuliza Y (why?) just like jina la brand hii

Wakati sisi tukiwa tunajiuliza why? Fashionista na wapenda fashion ambao wanapenda kuwa wa tofauti tayari wamesha anza kuonekana nazo wakiwa wamezivaa & kuziona wao wakiwa wamezistyle tunaweza kusema they don’t look that bad japo bado tuna mixed feelings nazo

Suruali hizi zinauzwa $257.50 sawa na shilingi 585,555/- za kitanzania japo unaweza kuzitengeneza mwenyewe kama una susurali ambayo huivai, kata miguu na uishonee kwenye suruali ambayo ungependa kuipa muonekano huo,

Well Kama ungependa kununua jeans hii click hapa, Lakini pia tuambie kwako wewe unaonaje hii trend ime kubariki au ipite tu kushoto?

Bizarre Multi Layered Jeans

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com