Ana julikana kama K-lynn lakini jina lake kamili ni Jacqueline Ntuyabaliwe, alisha wahi kuwa miss, mwanamuziki na sasa ana miliki kampuni yake ya ubunifu. Hizi ndizo picha zake tatu tulizo zipenda kutoka kwake wiki hii,

index

viatu na hiyo gauni ni wow, wenyewe wanaita The Little Black Dress.

jackie

 

Baby Pink Gauni na viatu vime fanya jacky a shine, rangi ime mtoa vizuri sana

unname

huwezi kuto kupendeza kama ukivaa nyekundu na hapa ndio jacky alipo thibitisha hilo

Comments

comments