Jacqueline FitzPatrick Cliff “Jack Cliff” ni video queen pia ni model, Jacquie amesha onekana kwenye video mbali mbali ikiwemo ya marehemu Mangwer “she got a gwan” na Video ya Linex Mjeda. Jack ni miongoni mwa ma model kutoka Tanzania ambae anajua kuvaa na kupangilia mavazi yake kwa sasa Jacqueline yupo china akitumika kifungo chake kutoka na misuko suko iliyo mpata, lakini hatuwezi kusahau vile alivyo kuwa akipendeza hizi ni chache kutoka kwa Jacq ambazo tunazo zikumbuka.
FOLLOW US!