anaitwa Peniel Mungilwa au vjpenny kama kama mwenyewe ambavyo ana penda kujiita, ni Tv personality kutoka Tanzania ambae kwa namna moja au nyingine amejizoelea umaarufu mkubwa. Penny kwa kazi yake ni lazima uwe unajua kuvaa na kupendeza sababu hio ime mfanya Penny kuwa kama mtu anaetazamwa kwa jicho la tatu katika swala zima la mitindo na hizi ndizo TBT zake ambazo alinoga haswa
FOLLOW US!