Sarah Kaisi ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Sarah amezaliwa mwaka 1985. Sarah alianza kujulikana mwaka 2004 ambapo alitoka na group linaloitwa Wakilisha likiwa na wana kikundi watatu, japo kikundi kilivunjika mbeleni lakini Sarah hakuacha kuendelea na kipaji chake cha uimbaji/muziki.

Sarah ambae jina lake la kisanii ni shaa ukiachana na uimbaji pia ni mpenda mitindo unaweza kuliona hilo kupitia style zake za nywele, mavazi hata pia viatu. ni moja kati ya wasanii wana dada ambao wana kwenda na Fashion. Leo tuna throw back nae tokea kipindi kile mpaka hivi karibuni

Shaa Shaa290115 shaa-crop-408x1024

12362089_1533507613634691_726425324_n 11910327_817503151697146_1801708750_n 12331703_794341230691278_1973658439_n 12328160_777491059047408_2093483809_n

Comments

comments