The People’s Choice Awards 2017 imefanyika Microsoft Theater jana  January 18, 2017 mjini Los Angeles, California. Hakuna muda ma fashionista tunakuwaga macho kodo kama muda wa red carpet, Katika hii red carpet tuna tatu bora zetu ambapo wa kwanza ni

Jennifer Lopez she look gorgeous rocking Reem Acra gown

Blake Lively never disappoints tumependa hii fringe little dress kutoka kwa mbunifu  Elie Saab

Ruby Rose akiwa amevalia orange suit kutoka kwa Veronica Beard, the bold make up is fire

hizo ndizo tatu bora zetu na hawa ni wengine walio kuwepo katika red carpet hii

Jamie Chung in Martha Medeiros

Pryinka Chopra

Gwen Stephan

Cheryl Burke

Andrea Navedo

Yara Shahidi

Hellen na mkewe well Hellen ndio ame beba tuzo nyingi zaidi

Sofia Vergara 

Comments

comments