Hii ni moja ya event ambazo zipo fashionable ukizingatia ni event ambayo inaandaliwa na fashion icon Rihanna, hii ni charity gala ambapo huwa wana rise hela kwa ajili ya kusaidia katika sekta ya elimu na afya, Rihanna ameipa hii event jina la Clara Lionel ambayo ni majina ya bibi na babu yake.

Rihanna alivaa billowy Alexis Mabille fall 2018 collection white gown, tunajua Rihanna is a dare na anaweza kupass almost anything.

Normani

Tiffany Haddish with the bob cut, we almost forgot her, amevaa sequib purple dress akiwa amemalizia na statement necklace

Odell Beckham Jr.

Fabolous

Teyana Taylor

Ebonee Davis

Ebonee Davis

Jasmine Sanders

Issa Rae

The 4th Annual Clara Lionel Foundation Diamond Ball Red Carpet

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com