The Dior Saddle ni moja kati ya iconic bag kutoka kwa  Luxury French House Designer  John Galliano, bag hii ilitoka mara ya kwanza miaka ya 90 well mwaka 2018 mbunifu kutoka katika brand hiohio ya Dior  Maria Grazia Chiuri, aliamua kuirudisha tena bag katika soko kwa kui-revamp na kuongezea vitu kadhaa, na kama ambavyo ili trend miaka ya tisini miaka hii pia imeonekana kupendwa sana na watu maarufu.


Watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na hii bag ambapo inasemekana inauzwa kati ya $3,300 ambapo ni sawa na 7,560,630 mpaka $8,500/ sawa na Tzs 19,476,900/- Fashionista’s loves expensive ish ( don’t go broke though )

Tumemuona Nigerian  radio personality, television host, vlogger, and author akiwa amebeba bag hii mara mbili

Watu maaruf wengine ni pamoja na fashion blogger Chiara Ferragini