Darling Hair

Jana kulikua na tuzo zinazo itwa Soul Train Awards kama kawaida kulikua na red carpet na kila mtu alitupia jicho lake hapo kuona favorite actress/actor wake katokelezeaje lakini katika wote Muigizaji Elise Neal kavunja record kwa ku postiwa mara nyingi na hii jumpsuit yake

LAS VEGAS, NV - NOVEMBER 06:  Actress Elise Neal attends the 2016 Soul Train Music Awards at the Orleans Arena on November 6, 2016 in Las Vegas, Nevada.  (Photo by Paras Griffin/BET/Getty Images for BET)

Elise alivaa jumpsuit nyeupe yenye train legs, hivyo yani miguu ya jumpsuit ina train kwa nyuma ambayo ilimpa shida katika kutembea, kila mtu alikua na lake la kuongea kuhusu vazi hilo ambapo wengine walisema Hollywood is too fake

1a6

wengine wakisema ame jaribu sana kuwa wa tofauti well as usual tuna sema kila siku vaa kitu ambacho upo comfortable nacho kama kina kusumbua au unaona kipo too much achana nacho, kuliko kupata fedheha

LAS VEGAS, NV - NOVEMBER 06:  Actress Elise Neal attends the 2016 Soul Train Music Awards at the Orleans Arena on November 6, 2016 in Las Vegas, Nevada.  (Photo by Ethan Miller/Getty Images)

Tupe maoni yako kupitia

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Instagram – afroswagga

 

The Internet Goes Crazy By Elise Neal Jumpsuit

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com