Met Gala formally inaitwa Costume Institute Gala pia kwa jina lingine ina itwa Met Ball, hii sherehe au hafla hufanyika kuchangia faida ya Metropolitan Museum of Art’s Costume Institute in New York City, mwaka huu theme ilikuwa Heavenly Bodies: Fashion and the Catholic Imagination ambapo tumesha kuwekea wale walio endana na theme, japo hawa walikuwa nje ya theme ila hizi dress zao ni moto kabisa tumezipenda

Gabrielle Union akiwa amevaa hii gauni ya njano kutoka kwa mbunifu Prada, they didn’t lie when they said yellow were meant for black girls, tumependa rangi jinsi ilivyo mfanya a-pop, gauni imeendana na mwili wake if only she was on another red carpet she would have been on our best dressed list.

Natasha Poly rocking a balmain dress, inahitaji kuongea kweli? she is serving us looks and all, but again not for met gala red carpet.

Irina Shayk in Versace dress,  tumependa gauni ipo tofauti na imeendana na mwili wake, makeup on point.

Kerry Washington long-sleeved Ralph Lauren gown Just perfect.

 

Kiersey Clemons In H&M

They Might Be Off Theme But These Met Gala Dresses Are Fire

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com