Lisa Jensen ni mwanamitindo na mwigizaji kutoka nchini Tanzania. Lisa alipata kushiriki katika shindano la Miss Tanzania 2006 na kuibuka mshindi wa tatu

huku sehemu ya kwanza ikinyakuliwa na Wema Sepetu na ya pili Jokate Mwegelo. Katika upande wa filamu alianza kutambulika sana baada ya kucheza katika filamu Fake Pastors ya mwaka 2007 akiwa na Jokate, Vincent Kigosi na Adam Kuambiana.

Mwaka wa 2012, alishinda Miss Redds Tanzania na kwenda kushiriki katika mashinda ya dunia yaliyofanyika huko nchini China mwaka 2013.

Hakuna ambae hakuwa anamjua Lissa kipindi hiko,amefanya modeling kwa kipindi fulani akaacha na kupotea ghafla

Lissa ameolewa na mtoto kwa sasa she is living her best life katika ndoa yake

Hizi ni picha chache alizo ziachia mwaka jana kutuonyeshe she still has it.

Comments

comments