Kesho ndio imefika na nsio siku ambayo Tanzania itampata mrembo wake ambae ataenda kutuwakilisha China katika mashindano ya Miss World, wengi watahudhuria kushuhudia nani atamvua taji Bi Diana Flave? tukaona tuwape tips chache za kujua wakati unachagua vazi la ku-attend nalo katika zuria jekundu la hafla hii

  • Classy¬†

Kama umeshawahi kuyaangalia mashindano haya utakuwa unajua kwamba ni event fulani imetulia haina makelele mengi so cocktail dresses au evening dresses zinafaa sana hapa huitaji kuwa extra au too exposed be in one classy outfit.

  • Simplicity¬†

Less is more people, sio vibaya kama ukienda extra ila nenda extra na upendeze but if you think utakuwa kwenye list ya waliozidisha chumvi just take a step back & slay on the simplicity zone.

  • Fashionable¬†

be as fashionable as you can hata kama ukiwa in a simple outfit jaribu kuifanya ionekane fashionable ongezea extra touch’s ambazo zitainua muonekano wako kutoka sehemu moja kwenda nyingine ( think outside the box)