mtindo wa ku match outfit kati ya mama na mtoto ume rudi na una zidi kukua, katika week hii tume waona hawa watatu ambao wame tuvutia mno.

mwanamuziki Tiwa Savage ame match all black outfit na mwanae wa kiume (Nigerian wear),too cute

vllkyt5p595ij9tg7.9974605d

 

Faraja Nyalandu kept it casual with T-shirt nyeupe na blue jeans ambapo na mwanae alimvalisha hivyo hivyo 15258889_201545493585562_916266779372683264_n

 

feza Suited up na mwanae we love love this one 15275640_631535270381740_883099521494548480_n