Moja kati ya collection ambazo zilituvutia mwaka huu katika Paris Fashion Week Haute Couture SS19, ni hii collection kutoka katika brand ya Balmain. Imeonekana si sisi tu ambao tumevutiwa na ubunifu katika collection hii bali hata baadhi ya designer nao wamevutiwa na ubunifu katika collection hizi na kujaribu kuzi-recreate.

Moja ya mtindo ambao tuliona uliwabamba wengi hata Queen Bey nae alionekana kuvutiwa nayo ni hii Spring/Sunmer 2020 couture dress, ambayo alivaa katika ROc Nation Brunch 2019,  the statement shoulder & pastel colors are everything

Wakati kwa Africa tumemuona mwanadada Zynnell Lydia Zuh  Kutoka Ghana akiwa amevalia top kutoka kwa mbunifu  Sima Brew  inayoendana na mtindo wa gauni kutoka kwa Balmain, Zynnell Lydia Zuh alivaa top hii wakati ameenda kuhudhuria Katika Vodafone Ghana Music Awards

Well tuambie ni sawa kwa mbunifu kutumia ubunifu wa mbunifu mwingine?

 

Comments

comments