Siku chache zilizo pita nyuma Nigeria kulikua na tamasha la Lagos Fashion & Design Week ni kama Swahili Fashion Week, watu maarufu wengi wali attend kama Linda Ikeji na wengine wengi lakini kwetu huyu Fashion Blogger Lydia Ekeng ndiye aliye tukosha na kwenda kulala na kuamka tukiwa tunafikiri kuhusu huu mtoko wake.

alivaa hii Tuxedo Dress mbele nyuma nyuma mbele, ni kitu ambacho ni creative lakini pia sio mara ya kwanza kukiona machoni mwetu

Amevaa a orange tuxedo dress ambayo ndio aliigeuza mbele nyuma nyuma mbele, akavaa na granny pumps na pink clutch 

sio our favorite look lakini ni jinsi alivyo na confidence zote ndicho kilicho tuvutia kwake, well tulisha iona hii kwa Celine Dion ni marudio

Je style hii inarudi tena na kama ikirudi would you rock it?