Kama ni mpenzi wa handbag ndogo hii itakufaa sana lakini hata kama si mpenzi hii bag ni must have kuna sehemu ambazo unaenda una hitaji kijibag fulani kadogo cha kuweka vitu muhimu tu kama simu, wet wipes, pesa vitambulisho na makeup, hii haihitaji handbag kuubwa kama unaenda clinic (excuse us) katika pita pita zetu tumekutana na hii bag ambayo karibu kila fashion blogger au fashionista anayo na tukasema hii itakuwa habari mpya mjini

Ni bag ndogo inayo patikana kwa material tofauti tofauti kama lather, suede, au velvet

Fashionista Doopie akiwa ameibeba kwa rangi nyekundu

Jadore anayo nyeusi  ambayo anaipenda sana

Gabriela Union akiwa amebeba ya kwake ya rangi ya cream

baadhi ya fashionistas wengine wakiwa wameibeba

 

kipo simple stylish & elegant unaweza kubeba popote kazini, kwenye fashion shows au meetings  unaweza kununua hapa kina bei tofauti tofauti kutokana na material lakini pia kuna miundo mengine kusoma kingine kinacho trend ingia hapa na hapa