Braids zipo miaka mingi, na tumekuwa tukisukiwa toka tukiwa watoto. kuna aina mbali mbali za kusuka rasta, kuna vitunguu,kusokota, njia tatu, yoboyebo zipo nyingi nyingi kupita kiasi ni wewe na mapenzi yako. Lakini mara nyingi huwa tunatumia rangi tatu au mbili kusukia nyeusi, brown au blonde kwa sasa inaonekana colorful braids zinarudi, yes mnakumbuka enzi za Da Brat? alikuwa aki tuinspire na aina za rasta za rangi mbalimbali na sasa trend hio imerudi watu maarufu mbalimbali wameonekana kusukia style hii

Alicia Keys yeye ameonekana kupenda hii style mara ya kwanza alisukia yellowish/orange na pink braids

sasa hivi amesukia hizi pink & blue braids

Lakini pia tumewaona watu maarufu wengine kama Chanel Iman

Justine Skye yeye alimua kusukia purple braids

katika pita pita zetu katika page za hair style tumekutana na watu mbalimbali ambao wamesukia trend hii na hizi ndizo zilizo tuvutia zaidi

lxndxox yeye aliamua kusuka bob style na rasta za orange

 

jah.cherise yeye amesukia rasta ndefu za njano

kwetu tumependa style as inafanya uonekane wa tofauti.

Trend Talk Tuesday – Colorful Braids

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com