Silver Ankle Boot zimeonekana kuwavutia wengi kipindi hiki, Fashionistas, Fashion Bloggers na hata maarufu wameonekana kuzivalia Boots hizi, kizuri kuhusu hii trend ni kwamba chochote unaweza kuvalia kama ambavyo tunajua silver ina ingilia karibu na kila rangi ( we can almost say silver is a new nude)

Unaweza Kuvaa ankle boots hizi na metallic skirt kama ambavyo Kendall Jenner ame zi style

 

Wengi wameonekana kupenda kuvivaa na suruali ya jeans pamoja na makoti 

 

Kwa hapa kwetu tulimuona navyo Jokate Mwegelo

Je trendy imekuvutia au lah?

Comments

comments