Empress Jamila is a Ghanaian slayer, watu wengi wana look up to her akiwemo fashionista wetu kutoka Tanzania ambae tuna muaminia kinoma noma Elizabeth Michael (lulu), yes sio mara moja au mbili Lulu ame kuwa akipost picha za Jamila na kumsifia kwa ku-slay kwake.

Leo tume penda huu mtoko wake

14624316_324114187971770_26772725884256256_n

ruffle fron slit skirt, stripped white & blue shirt na pink heels alizo match na maua yaiyopo kwenye shati, ombre lipstick na min mum makeup. the hair style is simple lakini lastly ni statement gold hearings na bracelets.

je ume penda kuonekano tuambie kupitia

Instagram – afroswagga

Twitter – afroswaggatz

Facebook- afroswaggamag