Anaitwa Johary au una weza kumpata kama joujou nyaki kutoka JouJou House of Style leo kawa chaguo letu kutokana na vazi lake, ni kama kaianza weekend vizuri hivi with this weather Johary is winning na hii outfit

leo its sunny a perfect weather ya beach, joujou ame vaa a short white pant,grey off shoulder top aliyo match na choker na flats pom pom shoes

14730487_589515777906871_5693308656443981824_n

tume penda hii outfit and the small bag is major

15099395_581598502045123_1109687363077931008_n