Friday is our second favorite F word after fashion, but what if we combine them together? It’s a fashion Friday. Ijumaa imeshafika na tunacho fikiria ni wapi pa kwenda na nini cha kuvaa, kwenye kuvaa tupo hapo kwa ajili yako chagua ambacho kinafaa kulingana na unapokwenda.

Leo tunakuletea two outfit ideas ambazo unaweza kuvaa leo ukiwa unatoka usiku.

Bandage skirt & crop top

fanya pastel suit yako itoke kwenye mchana kwenda usiku kwa ku-accessorize na urembo wa usiku na fun & casual to make it look less formal

Stripes Stripes

Colorful

 

 

Two Piece Outfit Ideas Kutoka Kwa Fashion Influencer Marii Pazz

Comments

comments


Post navigation


Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com