Tume kuwa tukiona wanamitindo (models) wanaibuka kila siku na wengi wao hawaotendei haki hii Tasnia na pia huwa wana waharibia wenzao wanao upenda uanamitindo na kuuchukulia kama kazi, wengi hupiga picha zisizo na maadili kwa kisingizio cha uanamitindo hii ika tufanya tuchukue muda wetu kuwatafuta baadhi ya wanamitindo tunao wajua wako serious na kazi zao na kuwauliza wao wana lionaje hili? na haya ni majibu kutoka kwa mwanamitindo Macrida Joseph
Afroswagga- Je Modeling Ni Underestimated Job Kwa Hapa Nchini Kwetu Kama Ndio Kwanini Na Kama Sio Kwanini Watu Hawaiheshimu?
Macrida-Sababu zipo nyingi, na sababu hizo ndio zinazofanya tasnia hii idharahulike.
A) kukosa management nzuri, hatuna management zenye viwango
B) models kuto jua thamani ya kazi yao, Wengine wanafanya ili kujulikana na duo kipaji
C) kutokuwa na shule zinazo fundisha na kuboresha tasnia hii.
Tunadhani watu waanze kuheshimu kazi za watu maana Tasnia ina dharaulika na kuonekana ovyo sababu ya watu wachache tu wasio jitambua all in all Macrida kayaengea yote.
Comments
Related posts
HOT TOPICS
Martin Kadinda Debuted She Gentle Collection At Swahili Fashion Week: Mbunifu Martin… https://t.co/BBAefWm0Al
FollowNjia Za Kujali Handbag Yako Idumu Muda Mrefu: Kama ambavyo unaweka cover na protector… https://t.co/rYXOb7PBbX
Follow#SwahiliFashionWeek2019 Lundi and Sons Collection #SwahiliFashionWeek2019 https://t.co/1sgnuYbDen
Follow
FOLLOW US!