Wakina mama wengi wa kiafrika huwa tunapata kigugumizi katika nini tuvae hata tukipata mialiko katika sherehe mbalimbali kulingana na hali zetu za ujauzito.

Naweza kusema wengi tunakumbana na mtihani huu kwasababu ya kuongezeka kwa ukubwa wa miili yetu, na kulingana na hali ya uchumi tunashindwa kwenda kufanya manunuzi ya nguo ambazo zitaendana na hali zetu hizo, Lakini pia desturi ambayo tumejengewa tangu vizazi na vizazi kuwa mama mjamzito lazima awe anavalia nguo pana kama vile tenite ili kutokibana kiumbe alichokibeba.

Lakini zama hizi zimepitwa na wakati, sina maana kwamba tuache kufata mila na desturi zetu, La hasha, ila tuchague basi zipi zinafaa kufatwa na zipi za kuachwa. Jamani dunia ya siku hizi ni mitindo, hivyo tubadilike, pindi utakapogundua kama una ujauzito pamoja na kufata taratibu za kwenda klinik pia tujijengee utaratibu wa kufanya matembezi katika maduka na kutafuta nguo ambazo tutakuwa tunazivaa katika msimu huo wa mpito.

Mfano mzuri baadhi ya watu wenye majina makubwa duniani kama Beyonce, Jennifer Lopez, Kim Kardashian wame thibitisha hili. Angalia Mwanadada huyu alivyokuwa akibadilika na kupendeza akiwa na ujauzito.

Kim-Kardashian_Glamour_22July15_Splash_b_540x810
Kim-Kardashian_glamour_04aug15_getty_b_540x810
Kim-Kardashian_Glamour_27July15_Rex_b_540x810
Kim-Kardashian_glamour_25aug15_rexfeatures_b_540x810
041513-Kim-4months-300b_1
041513-Kim-6months-300b_1
041513-Kim-3months-300e_1
050113-kim-k-maternity-style-300_0
Kim-Kardashian_glamour_7sep15_getty_b_540x810_1
041513-Kim-5months-300c_0

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

UJAUZITO USIWE KIKWAZO

Comments

comments


Post navigation


Leave a Reply

Social Media Auto Publish Powered By : XYZScripts.com