Rehema Chalamila au Ray C pia unaweza kumuita kiuno bila mfupa, ni mwanamuziki wa kike ambae amezaliwa 15/5/1982 uko mkoani Iringa.

Kabla ya kuwa mwanamuziki Ray C alisha wahi kuwa Mtangazaji katika Kituo cha Clouds Fm ukiachana na hayo yote Ray C ni mwanadada anae jua Mitindo toka kitambo hiko. Naweza kusema ni moja kati  ya watu ambao wame kuza mitindo yetu Tanzania.

Ray C anajua kupangilia nguo zake kutokana na umbile lake, hakuwahi  kusita kuangalia mitindo ya nje, mitindo kama crop tops, boyfriend jeans, boots na mengine mingi ameshaipitia. Naweza kusema pale ambapo wengine wana papitia sasa hivi Ray C alisha papitia.

Ray C (1) Ray C

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Ray-C

 

stdulclqt

84Vodacom1