c600x4491

Sketi fupi kabisa au ipitayo juu ya magoti – chaguo zuri la viatu ni vifupi yaani visivyo na soli ndefu au la uvae boots

Ifikayo magotini – hii inaenda na viatu vifupi pia virefu

Chini ya magoti- hatuoni miguu yako chaguo zuri ni viatu virefu vyenye kisigino au wedge

Iliyopo kati kati yaani si fupi si ndefu – hii ni vizuri ukavaa wedges, viatu vyenye visigino virefu au boots zenye kisigino kirefu

Maxi skirt – hii haichagui unaweza kuvaa na boots,vifupi, wedge au hata makobazi marefu