Peroni Fashion Nite ime rudi tena na kwa mwaka huu ilikua nzuri zaidi, kwa maana kila siku watu wana buni vitu vipya vizuri kuliko miaka iliyo pita.

Peroni ni kinywaji ambapo kampuni hii ya kinywaji ime ingia ubia na mbunifu Ally Rehmtullah kufanya ili tamasha kila mwaka, tamasha hili hulenga kuinua wabunifu na wana mitindo wanao chipukia. Peroni ina kuja na fashion,style na beauty. Mwaka huu kulikua na wabunifu wanao chipukia wanne, Fatma, Manyatta, Sam Zebedayo na Credo… Wabunifu hawa walituonyesha uwezo wao wa kubuni na ili kuona kilicho kuwa presented angalia video chini.