Tumekuwa tukiona baadhi ya brand za viatu vya kiume kutoka Tanzania kama Surtanforemen lakini pia Mbunifu Mtani Nyamakabibi amezindua shoe line yake iitwayo Mtani Shoes, well tukawaza kwani Africa Mashariki  hatuna shoe line ya kike? Tukakutana na hii shoe line ya kike inayo itwa Uzi Isle, wao wanatengeneza sandals za shanga ambapo wao wapo  New York lakini viatu hivi vina tengenezwa East Africa, bado hatujaua Nchi gani exactly

Kwa wao kuwa New York haimaanishi huwezi ku order vyako ukiwa popote ulipo, wana website uziisle.com hapa unaweza kuagiza na kuletewa ulipo.

Sandals zao zipo design tofauti tofauti lakini tulicho penda the most ni rangi na quality ya viatu hivi.

hii ni collection yao mpya iitwayo tropical paradise ambayo wenyewe wanasema wame kuwa inspired na kisiwa cha Zanzibar.

hizi ni some of our favorite kutoka kwenye collection zao zilizo pita

kamaungependa kununua tembelea website yao uziisle.com