Kwanza kabsia happy valenties to you unaye soma hapa, hope you have a wonderful one.

Pili leo ndio ile siku ambayo wengi watatoka na wapendwa wao, hii  date tunayo iongelea hapa ni ya couples si ya familia au friends. kama leo utatoka outing na mpenzio kama dinner date au mnaenda some where romantic usiku basi hizi ndio otufit ideas chahce tume zileta kwa ajili yako

red long off shoulder dress ambayo inaonyesha curves zako

white dramatic dress

red slit shirt dress

sequin dress

sexy black dress

black tassel dress

Comments

comments