Ukweli tuseme Vanessa ni moja kati ya wanamuziki wa kike wanao tuwakilisha vyema kabisa ki muziki ndani na nje ya Nchi, Jana Vanessa ametuwakilisha katika Tuzo kubwa kabisa Duniani za Bill Board Music Award ambapo yeye alienda kama mualikwa na haku chaguliwa kugombania tuzo yoyote. Vanessa alitupia picha yake Instagram akiwa katika red carpet ya Tuzo hizo na guess alivaa nini? Pajama’s yes Pj’s

Vanessa alivaa striped  silk pink pajama, akavaa na bralette nyeusi na akamaliza muonekano wake na fur heels, kwetu sisi muonekano wake huko sawa haja chusha, haja pendeza sana tuna weza kusema 50/50, Vanessa alikuwa na uwezo wa kupendeza zaidi ya hapa well hilo ndiyo lilikua chaguo lake Pj’s kwenye red carpet zilikua a hit mwaka ulio pita tumeshawaona watu maarufu wengi wakizivaa kama Rihanna

Rashida Jones

Na wengine wengi, tupe maoni yako kwako ni Yay au Nay?

Comments

comments