Jana mwanadada Vanessa Mdee ametoa picha zake za project yake mpya (tunadhani anatoa nyimbo mpya) ambapo ame weka rollers (rolazi) au curlers kubwa tumeona hii style muda kidogo kutoka kwa watu kama beyonce wakiituma style hii katika video za nyimbo zao

0133193edcf6e0a4f00cf7d27c2857f3

Vanessa kidogo ame modify style hii kwa kupaka colorful makeup na kuvaa nguo yenye rangi kali, ambapo makeup amefanyiwa na @americannailstz wakati style amebuni mwenyewe tumependa kila kitu tulicho kiona kutoka kwa vanessa

12070673_955814154504924_999983720_n 12751362_539423536237296_1122906527_n

Comments

comments