Omotola ni mwanamama kutoka Nigeria ambae wengi wanamjua kwa kazi yake ya uigizaji lakini kabla ya kujikita katika Tasnia hio Omotola aliwahi kuwa model (mwanamitindo). Juzi tarehe 7 mwanamama Omotola alifikisha miaka 38 na hili ndilo lilikua vazi lake, gauni ya kiheshima simple ila amependeza sana, kwa sasa Omotola ana watoto wanne.

Omotola-Jalade-Ekeinde-February-2016-BellaNaija0012 Omotola-Jalade-Ekeinde-February-2016-BellaNaija0022 Omotola-Jalade-Ekeinde-February-2016-BellaNaija0023 Omotola-Jalade-Ekeinde-February-2016-BellaNaija0026

Comments

comments