Kuna wakati una weza kumuangalia Fashion blogger na mitoko yake ukasema wow lakini i have seen that before na una move on, lakini kuna ile mitoko unaiona kwa fashiob bloggers una sema WOW na haikutoki kichwani, hii ndio iliyo tupata baada ya kumuona fashion blogger casseybassey akiwa ame tupia mitoko yake na tukasema WOW na mpaka sasa haija tutoka kichwani

hii outfit ni palazzo trouser yenye 3D reses flower ambayo imekuja na top yake ya cold shoulders, ime mpendeza kiasi ambacho huchoki kumuangalia,

tumependa jinsi ame pull hii outfit ikiwa there is so much going on na outfit yenyewe, ame jaribu kuipa a calm feeling kwa simple make up, simple hairstyle na plain accessories.

Orange & Burgundy Velvet Outfit, this is actually personal favorite, jinsi ambavyo ame pangilia rangi, accessories is just perfect.

Love how ame vaa trendy on trendy, the wide legs bado zipo kwenye trendy na off shoulder are still trending. Tumependa metallic choker aliyo match na belt na hiko ki clutch the ehole package is Perfect.

Kama ume penda mitoko ya cassey unaweza ku click hapa kuipata blog yake

Na kama una lolote unalo taka kutuambia husisite kuwasiliana nasi kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Lakini pia kama haitoshi una weza kutuandikia maoni yako hapo chini katika box la comment

Comments

comments